Hii ni baadhi ya michezo utakayopata kwenye kompyuta binafsi. Tunaendelea kuongeza mingine, kwa hivyo angalia tena mara kwa mara ili uone michezo mipya.
Baada ya kuendelea, utapokea barua pepe yenye kiungo cha kupakua Michezo ya Google Play kwenye Kompyuta.