Google Gemini

4.5
Maoni 23.5M
1B+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
USK: Umri wa miaka 12+
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Chochea zaidi tija na ubunifu wako ukitumia Gemini, kiratibu chako kinachotumia AI kutoka Google.

Gemini inakuwezesha kutumia moja kwa moja, mifumo bora zaidi ya AI kutoka Google kwenye simu yako ili uweze:

- Kupiga gumzo la moja kwa moja na Gemini ili kujadili mawazo, kurahisisha mada changamano na kufanya mazoezi kabla ya matukio muhimu. Katika mazungumzo ya Gemini Live, iruhusu Gemini ifikie kamera au maudhui yaliyo kwenye skrini yako ili izungumze nawe kuhusu chochote unachokiona. Bofya tu kitufe cha Gemini Live katika programu yako ya Gemini
- Kutekeleza mawazo yako ukitumia Canvas. Kuanzia kidokezo hadi mfano wa awali, tayarisha programu, michezo, kurasa za wavuti, michoro yenye maelezo, mihtasari kwa sauti na zaidi.
- Kuunganisha kwenye programu uzipendazo za Google kama vile huduma ya Tafuta, YouTube, Ramani za Google, Gmail na nyingine nyingi
- Kusoma kwa ustadi na kuchunguza mada yoyote ukitumia utayarishaji wa maswali na kadi za kufundishia, taswira wasilianifu na mifano ya ulimwengu halisi
- Kubadilisha faili yoyote iwe podikasti unazoweza kusikiliza wakati wowote, mahali popote.
- Kubuni na kuhariri picha zinazopendeza ukitumia Google AI kwa kuandika vidokezo vya maneno machache tu.
- Kupanga safari kwa ubora na haraka zaidi
- Kupata mihtasari, uchanganuzi wa mada na viungo vya vyanzo, vyote katika sehemu moja
- Kuchangia mawazo mapya au kuboresha mawazo yaliyopo

🍌 Jaribu kipengele cha Nano Banana Pro cha kubuni na kuhariri picha kilichojumuishwa kwenye Gemini 3. Buni mifano kwa kuchanganya picha, kubuni mabango yenye maandishi yanayovutia na utayarishe michoro kwa urahisi. Gusa “Tayarisha Picha” kwenye skrini ya kwanza ili utumie maandishi na picha kuelezea unachotaka kutayarisha.

Boresha hali yako ya kutumia programu ya Gemini kwa kujisajili kwenye mpango wa Google AI Plus. Tumia vipengele vipya na vyenye uwezo zaidi ili uongeze ubunifu na tija yako:
- Kupata uwezo zaidi wa kufikia mfumo wetu wenye uwezo zaidi, kama vile 3 Pro
- Kutayarisha na kukagua ripoti za kina kuhusu mada yoyote ukitumia Deep Research inayoendeshwa na 3 Pro
- Kugeuza maneno kuwa klipu za video za sekunde 8 zenye ubora wa juu ukitumia zana ya kutayarisha video kwa kutumia Veo 3.1 Fast na zaidi.

Programu ya Gemini, kama sehemu ya Google AI Plus, inapatikana katika mipango ya Google Workspace ya biashara na ya elimu inayotimiza masharti. Pata maelezo zaidi: https://gemini.google/subscriptions/

Nufaika zaidi na hali yako ya utumiaji wa programu ya Gemini kwa kujisajili kwenye mpango wa Google AI Pro, unaokusaidia kutekeleza majukumu pamoja na miradi changamano. Furahia kiwango kinachoongoza katika sekta cha kubaini muktadha cha tokeni milioni 1 (kinachoruhusu Gemini kuchakata hadi kurasa 1,500 za maandishi au mistari elfu 30 ya msimbo) na ufikiaji wa vipengele zaidi vya mfumo wetu wenye uwezo zaidi wa 3 Pro, Deep Research katika 3 Pro na utayarishaji wa video ukitumia Veo 3.1 Fast.

Programu ya Gemini, kama sehemu ya Google AI Pro, inapatikana katika mipango ya Google Workspace ya biashara na ya elimu inayotimiza masharti. Pata maelezo zaidi: https://gemini.google/subscriptions/

Nufaika zaidi na Gemini programu kwa kujisajili kwenye mpango wa Google AI Ultra. Pata ufikiaji wa kiwango cha juu zaidi wa vipengele bora zaidi na vya kipekee vya Google AI. Pata ufikiaji wa kiwango cha juu zaidi wa mfumo kutoka Google wenye uwezo zaidi, kama vile 3 Pro, vipengele kama vile utayarishaji wa video kwa kutumia Veo 3.1, Deep Research kwenye 3 Pro na ufikie Gemini 3 Deep Think. Pia, utapata ufikiaji wa mapema ili ujaribu uvumbuzi wetu mpya zaidi wa AI kadiri unavyopatikana, ikiwa ni pamoja na Agent Mode.

Ukichagua kutumia programu ya Gemini, itachukua nafasi ya Kiratibu cha Google kama kiratibu cha msingi katika simu. Unaweza kubadilisha ili utumie programu ya Kiratibu cha Google kwenye mipangilio.

Soma Ilani ya Faragha ya Programu za Gemini:
https://support.google.com/gemini?p=privacy_notice
Ilisasishwa tarehe
19 Ago 2025
Ofa na matukio

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Mahali, Taarifa binafsi na nyingine11
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe

Ukadiriaji na maoni

4.5
Maoni 22.9M
Mahesar Bindani
23 Oktoba 2025
mama Salma Kikwete akiwa katika pozi la nusu uchi za msanii nyota toka kiwanda
Mtu mmoja alinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?
Masunga Kayungilo
6 Septemba 2025
ni nzuri sana
Watu 5 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?
Samora Bakari
5 Oktoba 2025
naipenda maana inanirahisishia mambo yangu
Mtu mmoja alinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?

Vipengele vipya

Programu ya Gemini sasa inapatikana katika lugha na nchi zaidi. Angalia upatikanaji kwenye Kituo cha Usaidizi. https://support.google.com/?p=gemini_app_requirements_android