Hili ni toleo la awali la Sera yetu ya Faragha. Toleo la sasa la Sera yetu ya Faragha linapatikana hapa.

"linda Google na watumiaji wetu"

Mifano

Kwa mfano, ikiwa una wasiwasi kuhusu ufikiaji ambao haujaidhinishwa kwa barua pepe yako, "Shughuli ya mwisho ya akaunti" katika Gmail inakuonyesha habari kuhusu shughuli za hivi karibuni katika barua pepe yako, kama vile anwani za IP ambazo zilifikia barua pepe yako, eneo linalohusiana, pamoja na wakati na tarehe. Maelezo haya yanaweza kukusaidia kujua ikiwa mtu alifikia barua pepe yako na wakati alifanya hivyo bila ufahamu wako. Pata maelezo zaidi.

Programu za Google
Menyu kuu