Pata maarifa haraka kwa kutumia Google Forms

Tayarisha na ushiriki fomu na hati za utafiti kwa urahisi na uchambue majibu katika muda halisi.

Tayarisha fomu ya mtandaoni kwa urahisi kama tu kutayarisha hati

Chagua kutoka kwenye aina nyingi za maswali, buruta na udondoshe ili upange maswali upya na uweke mapendeleo ya thamani kwa urahisi tu kama kubandika orodha.

Unda fomu kwa urahisi Unda fomu kwa urahisi

Tuma fomu na hati maridadi za utafiti

Weka mapendeleo ya rangi, picha na fonti ili urekebishe mwonekano na muundo au uwakilishe chapa ya shirika lako. Ongeza pia mantiki maalum inayoweza kuonyesha maswali kulingana na majibu, ili kurahisisha matumizi zaidi.

Tuma hati maridadi za utafiti Tuma hati maridadi za utafiti

Chambua majibu kwa kutumia mihtasari ya kiotomatiki

Angalia chati zilizo na taarifa kuhusu data ya majibu katika muda halisi. Au ufungue data ghafi ukitumia Google Sheets kwa uchambuzi wa kina au kuiweka kiotomatiki.

Chambua majibu kwa kutumia mihtasari Chambua majibu kwa kutumia mihtasari

Andaa na ujibu tafiti ukiwa mahali popote

Fikia, tayarisha na ubadilishe fomu popote ulipo, ukitumia skrini ziwe ni kubwa au ndogo. Watu wengine wanaweza kujibu utafiti wako wakiwa popote pale—wakitumia kifaa chochote za mkononi, kompyuta kibao au kompyuta.

Google Forms: jibu fomu za utafiti Google Forms: jibu fomu za utafiti
Tayarisheni fomu na mchambue matokeo pamoja

Tayarisheni fomu na mchambue matokeo pamoja

Ongeza washirika—kama tu kwenye Hati, Majedwali na Slaidi za Google—ili mbuni maswali pamoja katika muda halisi. Kisha, chambueni matokeo pamoja bila kulazimika kushiriki nakala nyingi za faili hiyo.

Tumia data safi ya majibu

Tumia data safi ya majibu

Tumia umahiri wa ndani ya programu kuweka sheria za kuthibitisha majibu. Kwa mfano, hakikisha kwamba anwani za barua pepe zimeandikwa kwa muundo unaofaa au kwamba nambari zinapatikana katika safu fulani iliyobainishwa.

Shiriki fomu kupitia barua pepe, kiungo au tovuti

Shiriki fomu kupitia barua pepe, kiungo au tovuti

Ni rahisi kushiriki fomu na watu mahususi au na hadhira pana kwa kupachika fomu kwenye tovuti yako au kwa kushiriki viungo kwenye mitandao jamii.

Usalama, utiifu na faragha

beji ya ISO IEC beji ya SOC beji ya FR Beji ya Hipaa

Ni salama kwa chaguomsingi

Tunatumia hatua za usalama ambazo ni bora zaidi katika sekta hii ili kuweka data yako salama, ikiwa ni pamoja na ulinzi wa kina dhidi ya programu hasidi. Fomu za Google zimeundwa mahususi kutumika kwenye wingu, kwa hivyo hakuna haja ya kuweka faili kwenye kifaa na hivyo hupunguza hatari kwenye vifaa vyako.

Usimbaji fiche wakati wa kupitisha na usio wa kupitisha

Faili zote zilizopakiwa kwenye Hifadhi ya Google au zilizoundwa kwenye Fomu za Google husimbwa kwa njia fiche wakati zinapitishwa na wakati hazipitishwi.

Utiifu unaotuwezesha kutimiza matakwa ya sheria

Bidhaa zetu, ikiwa ni pamoja na Fomu za Google, mara kwa mara hupitia uthibitishaji huru wa usalama, faragha na vidhibiti vya utiifu.

Huduma iliyoundwa kwa kuzingatia faragha

Fomu za Google hufuata ahadi madhubuti za faragha na ulinzi wa data, sawa na huduma zingine za Google Cloud kwa biashara.

aikoni ya faragha

Unadhibiti data yako.

Hatutumii kamwe maudhui yako ya Fomu za Google kwa madhumuni ya utangazaji.

Hatuuzi kamwe taarifa zako binafsi kwa wahusika wengine.

Tafuta mpango unaokufaa

Google Forms ni sehemu ya Google Workspace

Kila mpango unajumuisha

  • aikoni ya Google Docs
  • aikoni ya Google Sheets
  • aikoni ya Google Slides
  • aikoni ya Google Forms
  • aikoni ya Google Keep
  • aikoni ya Tovuti
  • aikoni ya Hifadhi ya Google
  • aikoni ya Gmail
  • aikoni ya Meet
  • aikoni ya Kalenda
  • aikoni ya gumzo

Tumia Forms for Work

Kwa Matumizi Binafsi (Bila malipo)

Tumia Forms

Business Standard

$12 USD

kwa kila mtumiaji kwa mwezi, ahadi ya mwaka 1 info Au $14.40 kwa kila mtumiaji kwa mwezi, unapolipia kwa kila mwezi

Anza

Angalia mipango zaidi

Google Forms
Hati, Majedwali, Slaidi, Fomu za Google

kubuni maudhui

done

done

Hifadhi ya Google
Hifadhi ya Google

Hifadhi salama ya wingu

GB 15 kwa kila mtumiaji

TB 2 kwa kila mtumiaji

Hifadhi za pamoja za timu yako

remove

done

Gmail kutoka Google
Gmail

Barua pepe salama

done

done

Anwani maalum ya barua pepe ya biashara

remove

done

Google Meet
Meet

Kufanya mikutano ya video na ya sauti

Washiriki 100

Washiriki 150

Rekodi za mikutano huhifadhiwa kwenye Hifadhi ya Google

remove

done

Usimamizi wa usalama
Msimamizi

Usimamizi chini ya mamlaka moja

remove

done

Vidhibiti vya sera za usalama kulingana na kikundi

remove

done

Usaidizi kwa wateja

Usaidizi wa kujihudumia mtandaoni na majadiliano ya jumuiya

Usaidizi mtandaoni usiku na mchana, kila siku na majadiliano ya jumuiya

Je, uko tayari kuanza?