Hifadhi faili zako kwa usalama na uzipate kwenye kifaa chochote

Chagua folda kwenye kompyuta yako utakazosawazisha kwenye Hifadhi ya Google au utakazohifadhia nakala kwenye huduma ya Picha kwenye Google na upate maudhui yako yote moja kwa moja kwenye PC au Mac yako

Bango

Furahia Hifadhi ya Google kwenye kifaa chako cha mkononi

Hifadhi hufanya kazi kwenye mifumo yote mikuu, kwa hivyo unaweza kufanya kazi bila kukatizwa kwenye kompyuta, kifaa cha mkononi, kompyuta kibao na kivinjari chako.