Ufikiaji rahisi na salama wa maudhui yako
Hifadhi, shiriki na ushirikiane kwenye faili na folda kwenye kifaa cha mkononi, kompyuta kibao au kompyuta yako
Ulinzi wa ndani dhidi ya programu hasidi, taka na programu zinazodai kikombozi
Hifadhi inaweza kutoa ufikiaji salama uliosimbwa kwa njia fiche wa faili zako. Faili zinazoshirikiwa nawe zinaweza kukaguliwa kwanza na kuondolewa ikiwa zina taka, programu hasidi, programu zinazodai kikombozi au ni za wizi wa data binafsi. Zaidi ya hayo, Hifadhi imeundwa mahususi kutumika kwenye wingu, kwa hivyo hakuna haja ya kuweka faili kwenye kifaa na hivyo inaweza kupunguza hatari kwenye vifaa vyako.
Programu za kushirikiana zinazowapa watu kipaumbele za kuimarisha ushirikiano wa timu
Kuunganisha na zana na programu ambazo timu yako tayari inatumia
Hifadhi huunganika na kutia nguvu teknolojia ambayo timu yako tayari inatumia. Shirikiana katika faili za Microsoft Office bila kuhitaji kugeuza aina za faili, badilisha na uhifadhi zaidi ya aina 100 zingine za faili, ikiwa ni pamoja na PDF, faili za CAD, picha na aina zingine.
Search na teknolojia ya AI kutoka Google husaidia timu yako kutafuta mambo haraka
Vipengele thabiti vya utafutaji vya Google vimepachikwa katika Hifadhi na vinatoa kasi, hali ya kutegemeka na kuwezesha ushirikiano. Zaidi ya hayo, vipengele kama vile chipu za utafutaji za Hifadhi vinasaidia timu yako kupata faili haraka kwa kuleta matokeo yanayofaa zaidi.
Maelfu ya timu tayari zinatumia Hifadhi kubadilisha jinsi zinavyofanya kazi
Tafuta mpango unaokufaa
Hifadhi ya Google ni sehemu ya Google Workspace
Kila mpango unajumuisha
Kwa Matumizi Binafsi (bila malipo)
|
Business Standard$12 USD
kwa kila mtumiaji kwa mwezi, ahadi ya mwaka 1 Au $14.40 kwa kila mtumiaji kwa mwezi, unapolipia kwa kila mwezi
|
|
---|---|---|
Hifadhi
Hifadhi salama ya wingu |
GB 15 kwa kila mtumiaji |
TB 2 kwa kila mtumiaji |
Kushiriki kwa hadhira inayolengwa |
||
Hifadhi za pamoja za timu yako |
||
Hati, Majedwali, Slaidi, Fomu
kubuni maudhui |
||
Gmail
Barua pepe salama |
||
Anwani maalum ya barua pepe ya biashara |
||
Meet
Kufanya mikutano ya video na ya simu |
Washiriki 100 |
Washiriki 150 |
Rekodi za mkutano zinahifadhiwa kwenye Hifadhi |
||
Msimamizi
Usimamizi chini ya mamlaka moja |
||
Vidhibiti vya sera za usalama kulingana na kikundi |
||
Usaidizi kwa wateja |
Usaidizi wa kujihudumia mtandaoni na majadiliano ya jumuiya |
Usaidizi mtandaoni wa saa 24/7 na majadiliano ya jumuiya |
Je, unatafuta nafasi zaidi kwa ajili ya akaunti yako binafsi?
Google One ni mpango wa usajili unaokupa nafasi zaidi ya kutumia katika Hifadhi ya Google, Gmail na Picha kwenye Google. Isitoshe, ukiwa na Google One, unapata manufaa ya ziada na unaweza kushiriki uanachama wako na familia yako.